Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mtwara Updates: Masasi hujuma, mabomu vyaendelea, halmashauri yaungua

Magari 18,pikipiki 7 yateketezwa kwa moto.vyote vikiwa ni mali za halmashauri ya masasi na baadhi ni vya watumishi wa halmashauri hiyo

Vurugu Mtwara 26 Jan 13 aGari “AMbulance” la Halamashauri likiwa limeteketea kwa moto

Vurugu Mtwara 26 Jan 13Jengo la Elimu likiungua

Vurugu Mtwara 26 Jan 13 bMagari mengine yaliyochomwa moto

Vurugu Mtwara 26 Jan 13 cGenereta lililoteketezwa kwa moto. Picha zote na Mtandao wa Jamii Forum

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO