Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

“HAPPY BIRTHDAY GLORY GADIOLA”

Mtoto Glory Gadiel Gadiola .ametimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa!! Huyu ni mtoto wa CEO wa Wazalendo 25 blog . Blog hii inamtakia maisha marefu yenye afya na baraka tele, akiwa ni mtoto mwenye maadili mema ya kumuogopa Mungu!

Hongera sana Mzalendo!!

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

Gadiel Daniel Wangael said...

Mungu amlinde daima na hiki kizazi cha Digitali..B blessed

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO