Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira Rasmi Kutoka IKULU: Jinsi Rais Jakaya Kikwete Amaliza Rasmi Ziara Yake Ya Kikazi Nchin Ufaransa Juzi

Taswira mbalimbali za Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Orly, Ufaransa, baada ya kumaliza ziara yake ya kiserikali ya siku tano nchini humo juzi Januari 23, 2013.Picha na IKULU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO