Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA:KATIBU MKUU WA CCM ABDURAHAMAN KINANA NA SEKRETARIETI YOTE YA CCM WAENDA KIGOMA KWA TRENI

Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana, Migiro na Nape wakiwaaga wana-CCM na wananchi akwa jumla katika stesheni ya Dar es salaam kabla ya kupanda treni mjini Dar es salaam kwenda Kigoma leo.

Katibu Mkuu wa CCM Kinana akipanda treni kuongoza msafara wa Sektretarieti waliosafiri kwa treni kwenda Kigoma kutoka Dar es salaam jioni hii.

Katibu Mkuu Kinana akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma.jpg

Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha-Rose Migiro akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma leo.

WanaCCM wakimuaga Kinana na msafara wake kutoka stesheni ya reli Dar es salaam kwenda Kigoma.Picha Zote na Bashir Nkromo-Idara ya itikadi na Uenezi-CCM

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO