Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MASKANI YA (RIVER CAMP SOLDIERS) WANAKOTOKA WASANII KAMA JOH MAKINI, NIKI WA2, NA BONTA

 

Kwenye picha ni Ras Omega ambaye ni moja ya waanzilishi wa River Camp na msanii Nikki Wa pili(Mdogo wa Joh Makini) wakiwa sehemu ya kuingilia ya maskani hiyo iliyopo maeneo ya Uzunguni Arusha.

Anna Peter wa ANNA PETER BLOG akila pozi maskani hapo

humo ndani kuna matunda ya kila aina

Kuna aina ya mboga tofauti tofauti kama unavyoona pichani hizo ni moja ya mboga aina ya 'Salad' . Inaelezwa  kuwa kabla ya Joh Makini kuingia kwenye muziki alikuwa na vitalu vyake kadhaa vya hizo mboga akilima mwenyewe.

Nikiwa na Ras Omega ndani mto ambao una chemchem

PICHA NA ANNA PETER

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO