Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

VIDEO: Ofisa wa TRA Arusha akichukua rushwa waziwazi!

Video hii imerekodiwa kutoka kwenye simu ya mkononi na inamuonyesha Ofisa wa TRA Arusha akipokea rushwa toka kwa mteja ili aweze kumhudumia.

Ofisa huyu yupo mapokezi (reception) na inadaiwa ni kawaida yake kupokea Rushwa na kuwa usipompa anadai kwa nguvu.
Angalia VIDEO hii hapa -> http://www.fikrapevu.com/video-ofisa-wa-tra-arusha-akichukua-rushwa-waziwazi/

HABARI HII NI KWA MUJIBU WA MTANDAO WA JAMII FORUM

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO