Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MATUKIO MBALIMBALI YA KUAGA MWILI WA MPIGA PICHA MAARUFU JIJINI ARUSHA (HERMAN MINJA) KWA SAFARI YA MAZIKO MOSHI

 

Charity Githinji alikuwepo katika kuuwaga mwili wa marehemu ili ukazikwe Marangu Moshi

Mjane wa marehemu Herman Minja

Mwili ukiingizwa kwenye gari maalum, tayari kwa safari ya kuelekea Marangu Moshi.

CEO wa Wazalendo25 Blog ya Jijini Arusha alikuwa miongoni mwa waliouaga mwiliwa  wa marehemu Herman Minja ambae alikuwa ni mpiga picha maarufu jijini Arusha. Picha hizi ni kutoka kwake.

Herman alifariki ghafla kwa ugonjwa wa kisukari juzi.  Leo wakazi wa Arusha wameaga mwili wake katika misa iliyofanyika nyumbani kwake tayari kuelekea kijijini Marangu Moshi kwa maziko. Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi..

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO