Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete akizungumza wakato akifunga kongamano la Kimataifa la Afya ya Uzazi la siku 3 Katika ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa AICC mjini Arusha leo, Kongamano hilo lilewashirikisha wataalamu wa masuala ya afya ya uzazi wapatao 800 kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni.
Naibu Wazirii wa Afya,Dkt. Seif Rashid (Kulia) ,Waziri wa Afya Zanzibar,Dkt. Juma Haji Duni (kati) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magesa Mulongo wakifuatilia Kongamano hilo.
Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar,Dkt. Juma Haji Duni akiongea katika kongamano hilo jijini Arusha.kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magessa Mulongo
Picha ya pamoja na watendaji wakuu wa kongamano la Kimataifa la Afya ya Uzazi.Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
0 maoni:
Post a Comment