Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mrundikano wa pikipiki zilizokamatwa na kuhifadhiwa Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

2013-01-08 09.16.45

2013-01-08 09.16.51

2013-01-08 09.16.42Baadhi ya piki piki za aina tofauti zikiwa zimerudnikana katika maegesho ya viwanja vya Polisi Trafiki, Jijini Arusha. Piki piki hizi zimekamatwa kutokana na makosa mbali mbali yaliyowahusu wamiliki wake ama waendehsaji kutokana na sheria zinazosimamia vyombo hivyo, na   nyingi zilikuwa zinafanya shughuli ya kubeba abiria, maarufu kama “boda boda'”

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO