Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KAMATAKAMATA YA MACHAGUDOA SINZA YAMNASA MKE WA KIGOGO AKIJIUZA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida,mke wa kigogo mmoja ambae anacheo kikubwa hivi karibuni alibambwa kwenye danguro moja lilipo maeneo ya Sinza jijini Dar akijiuza.

Habari zaidi toka kwa watu wa karibu wanaomjua mwanamke huyo maarufu kwa jina la Mama Amina zinadai kuwa yeye ni mke wa pili wa kigogo mmoja anaefanya kazi kwenye Wizara moja nyeti ya Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.

Aidha watu hao waliiambia xdjayz  Jijini Dar kuwa mwanamke huyo alifikwa na balaa hilo katika msako mkali unaoendelea wa Polisi Kanda ya Kinondoni wa kuwakamata machangudoa wote wanaojiuza.

Habari zaidi ziliendelea kusema kuwa kigogo huyo ana familia nyingine ambayo inaishi maeneo ya Mbezi Beach .

Huyu  Mama Amina amempangishia nyumba maeneo ya Sinza Mori na amekuwa akimpa huduma zote muhimu...
Cha  kushangaza ni kwamba  kila mumewe akiondoka nyuma huenda kujiuza.

Mwandishi wa habari hii jana alifika kituo cha Polisi Oysterbay na kushuhudia kundi la machangudoa hao wakipelekwa Mahakamanikwa gari ya Manispaa pamoja na gari ya polisi akiwemo mwanamke huyo wa kigogo.

Wanawake wanaosadikiwakujiuza wakiwa wameziba nyuso zao zilisipigwe picha

Mke wa mtu akiwa ameziba uso wake kwa mikono ili kukwepa kamera


 Mke wa mtu akiwa amejifunika uso kwa Khanga ili asipigwe picha.

CHANZO: AUDIFACE JACKSON BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO