Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

ZIARA YA WAZIRI WA UVUVI NA MAENDELEO YA MIFUGO, MH MATHAYO DAVID KATIKA MACHINJIO YA ARUSHA

Waziri wa Uvuvi na  maendeleo ya mifugo Dr.Mathayo David Mathayo akiwa anatembelea eneo la nje la machinjio   ya Arusha Meat wakati alipofanya ziara yake ya siku moja

Waziri akiangalia mathari ya ndani ya sehemu ambayo mifugo inachinjiwa

picha ikionyesha waziri wa uvuvi na maendeleo ya mifugo Dr.David Mathayo David akiuliza swali wakati alipokuwa sehemu ng'ombe wanapochinjiwa

Picha ikionyesha Waziri wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo, Dk. David Mathayo David wa pili kulia  akisikiliza maelekezo kutoka kwa meneja wa wa machinjio ya Arusha ( Arusha Meat )Fabian Kisingi wakati alipofanya ziara ya kutembelea machinjio hiyo  na kuona kazi zinazofanywa na machinjio hiyo ambapo aliwahaidi kuhakikisha  kuwa watazuia nyama zote zinazotoka nchi za nje ili soko la nyama  hapa nchini likuwe

PICHA ZOTE: LIBENEKE LA KASKAZINI (WOINDE SHIZZA0

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO