Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

JINSI BODABODA ZINAVYOTIA ULEMAVU..HII NI AJALI YA ARUSHA JANA, DEREVA NA ABIRIA WAVUNJIKA MIGUU

Abiria wa piki piki,maarufu kama Boda boda akiwa chini, baada ya kugongwa na gari aina ya cruiser ya tours iliokuwa ikitokea maeneo ya Sakina white Rose na piki piki ikitokea upande wa ngaramtoni jijini Arusha,Abiria alivunjika Mkono wa kushoto palepale na kukimbizwa hospitali ya Mt. Meru kwa matibabu.

Wananchi wakimzingira Dereva wa Boda Boda ,ambae nae alivunjika Mguu wake wa kushoto baada ya kugongwa na gari aina ya cruiser ya tours iliokuwa ikitokea maeneo ya Sakina white Rose na piki piki ikitokea upande wa ngaramtoni jijini Arusha. PICHA NA GADIOLA EMANUEL-WAZALENDO25 BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO