Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

StarTimes Arusha kuuza ving’amuzi kwa mkataba

Taarifa ambazo blog hii imezipata zinaeleza kuwa, zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuzimwa kwa mitambo ya kurushia matangazo ya televeishini ya teknolojia ya analogia Jijini Arusha, kampuni ya Sttartimes wamebuni mbinu mpya ya kufaidisha wateja wao ambapo  sasa mtu anaweza kupata kingamuzi kwa shilingi 39,000 na kusaini mkataba wa miaka mitano na kampuni hiyo kulipa taratibu hadi atakapo maliza deni lake!

Taarifa zaidi kuhusiana na utaratibu huu endelea kuperuzi blogu yako hii tutakujuza !

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO