KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA
RATIBA YA KAZI KUANZIA TAREHE 02/01/ 2013 HADI 27/01/2013
UKUMBI: TUME YA KUREKEBISHA SHERIA
13/01/2013 JUMAPILI | · Wajumbe kuwasili Dar es salaam | · Katibu wa Bunge · Wajumbe |
JUMATATU 14/01/2013 | · Shughuli za Kiutawala · Kupitia Ratiba ya Kamati | · Wajumbe · Sekretarieti |
JUMANNE 15/01/2013 | · Kamati kutembelea Mfuko wa Pensheni wa serikali za Mitaa-LAPF | · Wajumbe · Waziri wa Nchi-Ofisi ya WM-TAMISEMI |
JUMATANO 16/01/2013 | · Kamati kukutana na kupokea taarifa ya utekelezaji wa Mradi wa ‘Strategic Cities’ | ● Wajumbe · Waziri wa Nchi-Ofisi ya WM-TAMISEMI |
ALHAMISI 17/01/2013 | · Kamati kukutana na Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano ili kuangalia utekelezaji wa Bajeti ya Maendeleo 2012/2013. | · Wajumbe · Waziri wa Nchi-Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano. |
IJUMAA 18/01/2013 | · Kamati kutembelea Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge ili kuangalia utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi hiyo (URATIBU NA SERA) | ● Wajumbe · Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Uratibu na Bunge. |
JUMAMOSI 19/01/2013 | · MAPUMZIKO | · Wajumbe |
JUMAPILI 20/01/2013 | · MAPUMZIKO | · Wajumbe |
JUMATATU 21/01/2013 | · Kamati kutembelea Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa lengo la kupata taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Tume hiyo. | ● Wajumbe · Waziri wa Katiba na Sheria |
JUMANNE 22/01/2013 | · Kamati kutembelea Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali | · Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Uratibu na Bunge. |
JUMATANO 23/01/2013 NA ALHAMISI 24/01/2013 NA IJUMAA 25/01/2013 | · Kamati kushughulikia Miswaada ya Sheria itakayoletwa na Mhe.Spika kwenye Kamati | ● Wajumbe |
JUMAMOSI 26/01/2013 | · Wajumbe kuelekea Dodoma | · Wajumbe · Katibu wa Bunge |
JUMAPILI 27/01/2013 | · Wajumbe kuelekea Dodoma | · Katibu wa Bunge · Wajumbe |
NB: 1.) Shughuli za Kamati zitaanza - Saa 3:00 - 11:00 jioni
2.) Chai - Saa 5:00 Asubuhi
3.) Ratiba itaweza kubadilika iwapo kutakuwa na umuhimu wa kufanya hivo.
RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA KUANZIA 14 HADI 25 JANUARI, 2013
______________________________
UKUMBI: SAMUEL SITTA – OFISI YA BUNGE
NA | SIKU/TAREHE | SHUGHULI ITAKAYOFANYIKA | MHUSIKA |
1. | JUMAPILI 13/01/2013 | Wajumbe kuwasili Dar es salaam | · Katibu wa Bunge · Wajumbe |
2. | JUMATATU 14/01/2013 | Shughuli za utawala na kupitia ratiba | · Wajumbe · Sekretarieti |
3. | JUMANNE 15/01/2013 | Kupokea taarifa ya utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Kamati wakati Kamati ilipofanya ziara ya kikazi Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro, Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Hifadhi ya Taifa ya saa Nane na Hifadhi ya Taifa ya Gombe | · Wajumbe · Waziri wa Maliasili na Utalii · Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCCA) · Mkurugenzi Mkuu Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) |
4. | JUMATANO 16/01/2013 | Kupokea taarifa kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni na mipango iliyopo kufidia wakazi wa Kigamboni watakaopisha eneo la ujenzi. | · Wajumbe · Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleoya Makazi |
5. | ALHAMIS 17/01/2013 | Kukutana na Kamati ya wananchi (Wadau) wa mji mpya wa Kigamboni ili kupata maoni yao kuhusu ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni. | · Wajumbe · Kamati ya wananchi (Wadau) wa mji mpya wa Kigamboni |
6. | IJUMAA 18/01/2013 | Ziara ya kutembelea mradi wa viwanja vilivyopimwa ( Gezaulole) | · Wajumbe · Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke · Mwakilishi kutoka Wizara ya Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi |
7. | JUMAMOSI NA JUMAPILI 19-20/01/2013 | Kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Saadani kwa lengo la kujielimisha shughuli za uhifadhi katika hifadhi hiyo. | · Wajumbe · Waziri wa Maliasili na Utalii |
8. | JUMATATU 21/01/2013 | Kukutana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania na kupata maelezo kuhusu utaratibu unaotumika kugawa ardhi kwa wawekezaji. | · Wajumbe · Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) · Mwakilishi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi · Mkurugenzi Mtendaji Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) |
9. | JUMANNE 22/01/2013 | 1. Saa 3: 00 Asb – 7: 00 Mch; Kukutana na Halmashauri za Manispaa ya Ilala na Kinondoni na kupata maelezo kuhusu mikakati iliyopo kurejesha kiasi cha shilingi ambazo ni fedha za mkopo zilizotolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa manispaa hizo tangu Mwaka 2007. 2. Saa 7:30 Mch – 10: 30 Jioni; Kukutana na wajumbe wa Kamati ya Mipango miji ya Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam na kubadilishana mawazo kuhusu masuala yanayohusu mazingira na mipango miji | · Wajumbe · Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam · Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala · Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni |
10. | JUMATANO 23/01/2013 | 1. Saa 3:00 Asb – 6:30 Mch; Kukutana na Ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha Maafa na kupokea maelezo jinsi ofisi hiyo ilivyojipanga kurudisha fedha za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi zilizotumika kupima viwanja vya mabwepande. 2. Saa 7:00 Mch – 9:30 Mch; Kukutana na Wizara ya Ujenzi na kupata taarifa kuhusu mikakati waliyonayo kurejesha fedha kiasi cha shilingi 2,354, 459, 500.00 zilizotolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mwaka 2008 kulipa fidia wananchi wa eneo la kurasini waliotakiwa kupisha ujenzi wa barabara ya daraja la kigamboni kwa niaba ya Wizara ya Ujenzi. | · Wajumbe · Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) · Waziri wa Ujenzi |
11. | ALHAMIS 24/01/2013 | MAPUMZIKO YA SIKUKUU YA MAULIDI | · WOTE |
12. | IJUMAA 25/01/2013 | MAJUMUISHO | · Wajumbe · Sekretariet |
13. | JUMAMOSI NA JUMAPILI 26-27/01/2013 | Kusafiri kuelekea Dodoma | · Wajumbe · Katibu wa Bunge |
TANBIHI/ ANGALIZO:
- Vikao vyote vitaanza saa 3:00 Asubuhi
- Mapumziko ya Chai ni saa 5:00 Asubuhi
RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA ZA JAMII TAREHE 13 -26 JANUARI, 2013
UKUMBI: TUME YA HAKI ZA BINADAMU
TAREHE/SIKU | SHUGHULI | MHUSIKA |
JUMAPILI 13/01/2013 | · Kuwasili Dar es Salaam | · Katibu wa Bunge |
JUMATATU 14/01/2013 | · Utawala pamoja na kupitia Ratiba | · Wajumbe. · Sekretarieti |
JUMANNE 15/01/2013 | · Kukutana na Taasisi yaVillage Education Project Kilimanjaro inayohusika na kuinua matumizi ya Lugha ya Kingereza katika Shule za Msingi · Kupata Semina kuhusu Matumizi ya Vyombo vya Habari | · Wajumbe · Taasisi ya Village Education Project Kilimanjaro · Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi · Wajumbe · Legislative Support Project |
JUMATANO 16/01/2013 | · Kutembelea Shule ya Msingi ya St. Joseph - Dar es Salaam | · Wajumbe. · Uongozi wa Shule ya Msingi St. Joseph · Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi |
ALHAMISI 17/01/2013 | · Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati katika Bajeti ya Wizara ya Elimuna Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka 2012/2013 | · Wajumbe. · Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi |
IJUMAA 18/01/2013 | · Kutembelea na kupata Taarifa ya Utendaji kazi wa Chuo Kikuu cha Afya - Muhimbili (MUHAS) | · Wajumbe · Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi |
JUMAMOSI19/01/2013 NA JUMAPILI20/01/2013 | MAPUMZIKO | · WOTE |
JUMATATU 21/01/2013 | · Kukutana na Chama cha Wataalamu wa Ustawi wa Jamii Tanzania. Tanzania Association of Social Workers (TASWO) | · Wajumbe · TASWO · Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii |
JUMANNE 22/01/2013 | · Kutembelea na kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Dar es Salaam. (Government Chemist) | · Wajumbe · Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali · Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii |
JUMATANO 23/01/2013 | · Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati katika Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa Mwaka 2012/2013 · | · Wajumbe · Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii |
ALHAMISI 24/01/2013 | · MAPUMZIKO YA MAULID | · WOTE |
IJUMAA 25/01/2013 |
| · Wajumbe · ATME · Sekretarieti |
JUMAMOSI26/01/2013 NA JUMAPILI27/01/2013 | · Kuelekea Dodoma kwenye Mkutano wa Kumi wa Bunge. | · Wajumbe. · Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
- Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi
- Chai saa 4:30 asubuhi
RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA ZA JAMII TAREHE 13 -26 JANUARI, 2013
UKUMBI: TUME YA HAKI ZA BINADAMU
TAREHE/SIKU | SHUGHULI | MHUSIKA |
JUMAPILI 13/01/2013 | · Kuwasili Dar es Salaam | · Katibu wa Bunge |
JUMATATU 14/01/2013 | · Utawala pamoja na kupitia Ratiba | · Wajumbe. · Sekretarieti |
JUMANNE 15/01/2013 | · Kukutana na Taasisi yaVillage Education Project Kilimanjaro inayohusika na kuinua matumizi ya Lugha ya Kingereza katika Shule za Msingi · Kupata Semina kuhusu Matumizi ya Vyombo vya Habari | · Wajumbe · Taasisi ya Village Education Project Kilimanjaro · Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi · Wajumbe · Legislative Support Project |
JUMATANO 16/01/2013 | · Kutembelea Shule ya Msingi ya St. Joseph - Dar es Salaam | · Wajumbe. · Uongozi wa Shule ya Msingi St. Joseph · Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi |
ALHAMISI 17/01/2013 | · Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati katika Bajeti ya Wizara ya Elimuna Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka 2012/2013 | · Wajumbe. · Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi |
IJUMAA 18/01/2013 | · Kutembelea na kupata Taarifa ya Utendaji kazi wa Chuo Kikuu cha Afya - Muhimbili (MUHAS) | · Wajumbe · Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi |
JUMAMOSI19/01/2013 NA JUMAPILI20/01/2013 | MAPUMZIKO | · WOTE |
JUMATATU 21/01/2013 | · Kukutana na Chama cha Wataalamu wa Ustawi wa Jamii Tanzania. Tanzania Association of Social Workers (TASWO) | · Wajumbe · TASWO · Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii |
JUMANNE 22/01/2013 | · Kutembelea na kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Dar es Salaam. (Government Chemist) | · Wajumbe · Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali · Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii |
JUMATANO 23/01/2013 | · Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati katika Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa Mwaka 2012/2013 · | · Wajumbe · Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii |
ALHAMISI 24/01/2013 | · MAPUMZIKO YA MAULID | · WOTE |
IJUMAA 25/01/2013 |
| · Wajumbe · ATME · Sekretarieti |
JUMAMOSI26/01/2013 NA JUMAPILI27/01/2013 | · Kuelekea Dodoma kwenye Mkutano wa Kumi wa Bunge. | · Wajumbe. · Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
- Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi
- Chai saa 4:30 asubuhi
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA FEDHA NA UCHUMI
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI TAREHE 13 -26 JANUARI, 2013
UKUMBI: MKWAWA, OFISI NDOGO YA BUNGE
TAREHE/SIKU | SHUGHULI | MHUSIKA |
JUMAPILI 13/01/2013 | · Kuwasili Dar es Salaam | · Katibu wa Bunge |
JUMATATU 14/01/2013 | · Utawala na kupitia Ratiba · Kamati kupatiwa Semina kuhusu ‘Undestanding Public Procurement Process in Tanzania’ | · Wajumbe · Ofisi ya Bunge · Legislatures Support Project 2011/2015 |
JUMANNE 15/01/2013 | · Kamati kupitia na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa BAJETI YA SERIKALI KWA KIPINDI CHA NUSU MWAKA WA FEDHA WA 2012/2013 | · Wajumbe · Waziri wa Fedha |
JUMATANO 16/01/2013 | · Kamati kupitia na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa SENSA YA WATU NA MAKAZI 2012. | · Wajumbe · Waziri wa Fedha · Ofisi ya Takwimu |
ALHAMISI 17/01/2013 | · Kamati kupata Taarifa kuhusu utekelezaji waMarekebisho ya Muundo wa Ofisi ya Msajili wa Hazina na Sheria ya Msajili wa Hazina. · Kamati kupata Taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli za Shirika Hodhi la Mali za Mashirika ya Umma, ‘The Consolidated Holding Corporation’ (CHC) pamoja na kupata Taarifa ya Hali halisi ya Ubinafsishaji na Urekebishaji wa Mashirika ya Umma. | · Wajumbe · Waziri wa Fedha · Msajili wa Hazina. · CHC |
IJUMAA 18/01/2013 | · Kamati kukutana na wamiliki wa viwanda vinavyochangia Pato kubwa la Kodi nchini. Kamati kupata taarifa kuhusu utendaji kazi wao: Mafanikio, Changamoto na Mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo | · Wajumbe · Wizara ya Fedha · CTI · TPSF · Wamiliki wa Viwanda |
JUMAMOSI 19/01/2013 | · Kamati kupatiwa Semina kuhusu ‘Effective Public-Private Partnership in Enhancing Social and Economic Proects in Tanzania’ | · Wajumbe · Ofisi ya Bunge · Legislatures Support Project 2011/2015 |
JUMATATU 21/01/2013 | · Kamati kupewa Semina kuhusu shughuli na Majukumu ya Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (Capital Markerts and Securities Authority) | · Wajumbe · Wizara ya Fedha · Kamati ya POAC · CMSA |
JUMANNE 22/01/2013 | · Kamati kupata taarifa fupi kuhusu utekelezaji wa program ya ‘The Tanzania Long Term Perspective Plan (LTPP) 2011/12-2025/26: The RoadMap to a Middle Income Country’. | · Wajumbe · OR-Mahusiano na Uratibu · TUME YA MIPANGO |
JUMATANO 23/01/2013 | · Kamati kupitia na kujadili Taarifa ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2013/2014. | · Wajumbe · OR-Mahusiano na Uratibu · TUME YA MIPANGO |
ALHAMISI 24/01/2013 | · Sikukuu ya Maulid | · Wajumbe |
IJUMAA 25/01/2013 | · Majumuisho ya vikao vya Kamati | · Wajumbe |
JUMAMOSI 26/01/2013 | · Kuelekea Dodoma | · Wajumbe · Katibu wa Bunge |
TANBIH: 1) Vikao vitaanza saa 3: 00 Asubuhi, (2) Chai Saa 4:30 - Asubuhi
KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC)
RASIMU YA KUJADILI HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA MAFUNGU
MBALIMBALI KUANZIA TAREHE 07 – 26 JANUARI 2013
UKUMBI: JUMA AKUKWETI - NDOGO YA BUNGE, DAR ES SALAAM
____________________________________
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumapili 06 Januari 2013 | Wajumbe kuwasili Dar es Salaam | Katibu wa Bunge |
Jumatatu 07 Januari 2013 | Shughuli za kiutawala | Sekretarieti |
Jumanne 08 Januari 2013 | Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya CAG kwenyeTaarifa ya Ukaguzi wa Ufanisi wa Usimamizi wa Utoaji wa Huduma ya Afya ya Msingi. | Afisa Masuuli – Fungu 52 & 56/CAG/AcGen/DGAM/PAC Wajumbe/Sekretarieti |
Jumatano 09 Januari 2013 | Fungu 18 - Mahakama Kuu Fungu 40 - Mahakama ya Rufaa | Afisa Masuuli/CAG/DGAM AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Alhamisi 10 Januari 2013 | Fungu 19 - Mahakama za Mwanzo na za Wilaya Fungu 14 - Idara ya Zimamoto na Uokoaji | Afisa Masuuli/CAG/DGAM AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Ijumaa 11 Januari 2013 | Fungu 44 - Wizara ya Viwanda na Biashara | Afisa Masuuli/CAG/DGAM AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Jumamosi na Jumapili 12-13 Januari 2013 | MAPUMZIKO | Wote |
Jumatatu 14 Januari 2013 | Fungu 16 - Mwanasheria Mkuu wa Serikali Fungu 41 - Wizara ya Sheria na Katiba | Afisa Masuuli/CAG/ DGAMAcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Jumanne 15 Januari 2013 | Fungu 52 - Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Fungu 49 - Wizara ya Maji | Afisa masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Jumatano 16 Januari 2012 | Fungu 56 - TAMISEMI | Afisa masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Alhamisi 17 Januari 2013 | Fungu 50 - Wizara ya Fedha | Afisa masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Ijumaa 18 Januari 2013 | Fungu 21 – Hazina | Afisa masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Jumamosi na Jumapili 19-20 Januari 2013 | MAPUMZIKO | Wote |
Jumatatu 21 Januari 2013 | Fungu 34 – Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa | Afisa masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Jumanne 22 Januari 2013 | Fungu 43 - Wizara ya Kilimo , Chakula na Ushirika | Afisa masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Jumatano 23 Januari 2013 | Fungu 99 - Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi | Afisa masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Alhamisi 24 Januari 2013 | Fungu 42 - Ofisi ya Bunge Fungu 45 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Ijumaa 25 Januari 2013 | Kujadili Majibu ya Hazina kuhusu mapendekezo ya Kamati kwa Hesabu zinazoishia Juni 30, 2010. | PMG/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Jumamosi 26 Januari 2013 | Wajumbe kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
· Vikao vyote vya asubuhi vitaanza saa 3:00 Asubuhi.
· Mapumziko ya Chai ni Saa 5:00 Asubuhi.
· Maafisa Masuuli waepuke kuambatana na maafisa ambao hawatasaidia katika kujibu hoja.
· Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.
· Kamati itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali zinazoishia tarehe 30 Juni 2011.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
KAMATI YA SHERIA NDOGO
RASIMU YA RATIBA YA ZIARA YA KAMATI YA SHERIA NDOGO KATIKA MIKOA YA MARA, MANYARA, ARUSHA NA KILIMANJARO KUANZIA TAREHE 07 – 26 JANUARI, 2013
SIKU/TAREHE | MUDA | SHUGHULI/MAHALI | MHUSIKA | |
JUMATATU 07 Januari, 2013 | 3:00 – 7:00 | Shughuli za Utawala (Ofisi Ndogo ya Bunge, Dar es Salaam) | · Wajumbe · Sekretarieti | |
JUMANNE 08 Januari, 2013 | 3:00 – 7:00 | Shughuli za Utawala pamoja na wajumbe kufanya maandalizi ya ziara | · Wajumbe · Sekretarieti | |
JUMATANO 09 Januari, 2013 | 3:00 – 7:00 | Kuondoka Dar es Salaam (JIA) kuelekea Mara kupitia Uwanja wa Ndege wa Mwanza | · Wajumbe · Sekretarieti | |
ALHAMISI 10 Januari, 2013 | 2:15 – 2:45 | Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Mara (Courtesy Call) | · Wajumbe · RC Mara | |
3:00 – 6:00 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri ya:- 1. Manispaa ya Musoma 2. Wilaya ya Musoma 3. Wilaya ya Bunda | · Wajumbe · RAS Mara · Halmashauri | ||
6:00 – 7:00 | MAPUMZIKO | · Wote | ||
7:00 – 8:00 | MAJADILIANO | · Wote | ||
IJUMAA 11 Januari, 2013 | 3:00 – 6:00 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri ya:- 1. Wilaya ya Tarime 2. Mji Tarime 3. Wilaya ya Rorya 4. Wilaya ya Serengeti | · Wajumbe · RAS Mara · Halmashauri | |
6:00 – 7:00 | MAPUMZIKO | · Wote | ||
7:00 – 8:00 | MAJADILIANO | · Wote | ||
JUMATATU 14 Januari, 2013 | 3:00 – 5:00 | Majumuisho ya Kamati na Halmashauri zote za Mkoa wa Mara | · Wajumbe · Halmashauri · RAS Mara | |
| NA | Kuondoka kuelekea Mkoa wa Manyara kupitia Mwanza na Kilimanjaro | · Wajumbe · RPC Kilimanjaro · RAS Manyara | |
JUMANNE 15 Januari, 2013 | 2:15 – 2:45 | Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara (Courtesy Call) | · Wajumbe · RC Manyara · RAS Manyara | |
3:00 – 6:00 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri ya:- 1. Wilaya ya Babati 2. Babati Mji 3. Wilaya ya Hanang | · Wajumbe · RAS Manyara · Halmashauri | ||
6:00 – 7:00 | MAPUMZIKO | · Wote | ||
7:00 – 8:00 | MAJADILIANO | · Wote | ||
JUMATANO 16 Januari, 2013 | 3:00 – 6:00 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri ya:- 4. Wilaya ya Mbulu 5. Wilaya ya Simanjiro 6. Wilaya ya Kiteto | · Wajumbe · RAS Manyara · Halmashauri | |
6:00 – 7:00 | MAPUMZIKO | · Wote | ||
7:00 – 8:00 | MAJADILIANO | · Wote | ||
ALHAMIS 17 Januari, 2013 | 3:00 – 5:00 | Majumuisho ya Kamati pamoja na Halmashauri zote za Mkoa wa Manyara | · Wajumbe · Sekretarieti | |
6:00 | Kuondoka kuelekea Mkoa wa Arusha | · Wajumbe · RPC Arusha | ||
IJUMAA 18 Januari, 2013 | 2:15 – 2:45 | Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Courtesy Call) | · Wajumbe · RC Arusha · RAS Arusha | |
3:00 – 6:00 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri ya:- 1. Manispaa ya Arusha 2. Wilaya ya Monduli 3. Wilaya ya Arumeru | · Wajumbe · RAS Arusha · Halmashauri | ||
6:00 – 7:00 | MAPUMZIKO | · Wote | ||
7:00 – 8:00 | MAJADILIANO | · Wote | ||
JUMATATU 21 Januari, 2013 | 3:00 – 5:00 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri ya:- 1. Wilaya ya Ngorongoro 2. Wilaya ya Longido 3. Wilaya ya Karatu | · Wajumbe · RAS Arusha · Halmashauri | |
6:00 – 7:00 | MAPUMZIKO | · Wote | ||
7:00 – 8:00 | MAJADILIANO | · Wote | ||
JUMANNE 22 Januari, 2013 | 3:00 – 5:00 | Majumuisho ya Kamati pamoja na Halmashauri zote za Mkoa wa Arusha | · Wajumbe · Sekretarieti · Halmashauri | |
6:00 | Kuondoka kuelekea Mkoa wa Kilimanjaro | · Wajumbe · RPC Kilimanjaro | ||
JUMATANO 23 Januari, 2013 | 2:15 – 2:45 | Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (Courtesy Call) | · Wajumbe · RC Kilimanjaro · RAS Kilimanjaro | |
| 3:00 – 6:00 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri ya:- 1.Manispaa ya Moshi 2.Wilaya ya Moshi 3. Wilaya ya Hai | · Wajumbe · RAS Kilimanjaro · Halmashauri | |
| 6:00 – 7:00 | MAPUMZIKO | · Wote | |
| 7:00 – 8:00 | MAJADILIANO | · Wote | |
ALHAMIS 24 Januari, 2013 | 3:00 – 5:00 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri ya:-
| · Wajumbe · Halmashauri · RAS Kilimanjaro |
| 6:00 – 7:00 | MAPUMZIKO | · Wote |
| 7:00 – 8:00 | MAJADILIANO | · Wote |
IJUMAA 25 Januari, 2013 | 3:00 – 5:00 | Majumuisho ya Kamati pamoja na Halmashauri zote za Mkoa waKilimanjaro | · Wajumbe · Sekretarieti · Halmashauri |
JUMAMOSI 26 Januari , 2013 | | Kuondoka Kilimanjaro kuelekea Ofisi Ndogo ya Bunge, Dar es Salaam | · Wajumbe · Sekretarieti |
JUMAPILI 27 Januari , 2013 | | Kuondoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma | · Wajumbe · Sekretarieti |
TANBIH
· Muda uko katika saa kwa Kiswahili
· Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI YA
BUNGE YA KILIMO,MIFUGO NA MAJI
TAREHE 13- 26 JANUARI, 2013
UKUMBI: OFISI YA MAKAMU WA RAIS
SIKU TAREHE | SHUGHULI | WAHUSIKA |
JUMAPILI 13/01/2013 | · Wajumbe kuwasili Dar es Salaam | · KATIBU WA BUNGE |
JUMATATU 14/01/2013 | · Kupitia ratiba · Shughuli za utawala | · Wajumbe · Sekretarieti |
JUMANNE 15/01/2013 | · SEMINA | · Wajumbe · WB |
JUMATANO 16/01/2013 |
| · Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika |
ALHAMISI 17/01/2013 | · Kupokea na kujadili Taarifa za utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2012/2013 kwa kipindi cha nusu Mwaka na mipango kwa Mwaka unaofuata | · Wajumbe · Wizara ya maji |
IJUMAA 18/01/2013 | · Kupokea na kujadili Taarifa za utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2012/2013 kwa kipindi cha nusu Mwaka na mipango kwa Mwaka unaofuata | · Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
JUMAMOSI 19/01/2013 | · SEMINA | · Wajumbe · PLS |
JUMAPILI 20/01/2013 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | · Wajumbe |
JUMATATU 21/01/2013 | Kundi A Kusafiri kuelekea Mbeya na kumsalimu mkuu wa mkoa Kundi B Kusafiri kuelekea Mtwara na kumsalimu mkuu wa mkoa | · Wajumbe · Sekretarieti · RAS- Mtwara · RAS – Mbeya · Wizara ya Kilimo,Chakula na Ushirika |
JUMANNE 22/01/2013 | KUNDI A · Kutembelea shamba la chai Tukuyu-Mbeya KUNDI B · Kutembelea kituo cha utafiti Naliendele- Mtwara | · Wajumbe · Sekretarieti · |
JUMATANO 23-/01/2013 | KUNDI A Kutembelea shamba la mifugo - kitulo KUNDI B · Kutembelea Marine reserve ya Mnazi Bay | · Wajumbe · Sekretarieti |
ALHAMISI 24/01/2013 | · Sikukuu ya Maulid | · Wajumbe |
IJUMAA 25/01/2013 | KUNDI A · Kutembelea maeneo ya kilimo cha Mpunga Mbarali, kyela · Kusafiri kuelekea Dar KUNDI B · Kusafiri Kuelekea Dar | · Wajumbe · Sekretarieti |
BUNGE LA MUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA
__________________________________
RATIBA YA HALMASHAURI ZITAKAZOHOJIWA NA KAMATI KWA KIPINDI CHA MWEZI JANARI, 2013, HESABU ZA MWAKA WA FEDHA WA 2010/11, OFISI NDOGO YA BUNGE, DAR ESA SALAAM, UKUMI WA AUSTIN SHABA
SIKU/TAREHE | HALMASHAURI/KAZI | MHUSIKA |
14 Jan. 2013 | Shughuli za Kiutawala (Registration and Briefing) | Katibu wa Bunge |
15 Jan. 2013 | Rory DC Serengeti DC | 1. LAAC 2. NAOT 3. TAMISEMI 4. ACGEN 5. HAZINA 6. Menejimenti ya Halmashauri iliyoitwa |
16 Jan. 2013 | Musoma MC Shinyanga MC | |
17 Jan. 2013 | Bukombe DC Maswa DC | |
18 Jan. 2013 | Kahama DC Bariadi DC | |
21 Jan. 2013 | Misenyi DC Nachingwea DC | |
22 Jan. 2013 | Liwale DC Kilwa DC Lindi DC | |
23 Jan. 2013 | Chato Geita DC | |
24 Jan. 2013 | Sengerema DC Ukerewe DC | |
25 Jan. 2013 | Mbulu DC Babati TC | |
26 & 27 Jan.2013 | Wajumbe kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
1. Vikao vyote vitakuwa vinaanza saa 3:00 asuhuhi
2. NAOT = National Audit Office
3. CC = City Council, DC = District Council, MC = Municipal council, TC =township Council
4. Vikao vyote vitagharamiwa na Ofisi ya Bunge SIYO Halmashauri
5. Taarifa zote zitakazowasilishwa na Halmashauri kwenye Kamati SHARTI zikaguliwe na NAOT
6. Ni wajibu wa kila Halmashauri kuwajulisha Wabunge walio katika eneo lake la utendaj kuhusu kuwepo kwa vikao hivi.
7. Taarfia za Halmashauri zita wasilishwa kwa Katibu wa Kamati siku Tano kabla ya tarehe ambayo Halmashauri husika itahojiwa na Kamati.
8. Halmashauri iliyo ya kwanza kuandikwa katika Ratiba hii ndiyoitakayokuwa ya kwanza kuhojiwa labda kama itaelekezwa vingenevyo na Kamati yenyewe.
RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAENDELEO YA JAMII KUANZIA TAREHE 13 – 25 JANUARI 2013
UKUMBI: GEORGE M. NHIGULA – OFISI YA BUNGE DAR ES SALAAM
TAREHE | SHUGHULI ZITAKAZOFANYIKA | WAHUSIKA |
Jumapili 13/01/2013 |
|
|
Jumatatu 14/01/2013 |
|
|
Jumanne 15/01/2013 | · Kikao cha pamoja kati ya Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Kamati ya POAC na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo juu ya Mkataba wenye utata wa Star Media –TBC · Semina toka mradi wa Legislative Support (Madia management and effectiveness of Media Operations in Tz) | · Wajumbe · Kamati ya POAC · Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo |
Jumatano 16/01/2013 |
|
|
Alhamisi 17/01/2013 |
|
|
Ijumaa 18/01/2013 |
|
|
Jumamosi 19&20/01/2013 Jumapili |
| · Wajumbe |
Jumatatu 21/01/2013 | · Wajumbe kuelekea Geita (Asubuhi) · Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Geita |
|
Jumanne 22/01/2013 |
|
|
Jumatano 23/01/2013 | · Kusafiri kurudi Dar es Salaam |
|
Alhamisi 24/01/2013 |
|
|
Ijumaa 25/01/2013 |
|
|
Jumamosi 26/01/2013 na Jumapili 27/01/2013 |
| Wajumbe |
Tanbihi:
Vikao vyote vitaanza saa 3.00 asubuhi.
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA MWEZI JANUARI, 2013
UKUMBI: PIUS MSEKWA -OFISI NDOGO YA BUNGE DAR ES SALAAM
TAREHE | SHUGHULI | WAHUSIKA |
Jumatatu 14/01/ 2013 | § Shughuli za Utawala § Kujipanga kwa ajenda za vikao | § Wajumbe Sekretarieti |
Jumanne 15/01/ 2013 | § Kupitia na kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kwa kipindi cha Julai - Desemba, 2012 | § Waziri/ OR-UB § Wajumbe |
Jumatano 16/01/ 2013 | § Kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya ushirikiano wa Kimataifa na diplomasia duniani hadi kufikia Mwezi Desemba, 2012 pamoja na juhudi za Serikali kujiimarisha kidiplomasia. § Kupokea na Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa kipindi cha Nusu ya mwaka wa fedha 2012/2013 | § Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa § Wajumbe |
Alhamis 17/01/ 2013 | § Kutembelea Gereza la Segerea | § Waziri /Mambo ya Ndani § Wajumbe |
Ijumaa 18/01/ 2013 | § Kupokea na Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa majukumu ya APRM Tanzania | § APRM § Wajumbe |
Jumamosi- Jumapili 19-20/01/2013 | § M a p u m z i k o | |
Jumatatu 21/01/ 2013 | § Kupokea na Kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kwa kipindi cha Julai hadi Desemba, 2012 § Kupokea na Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kwa kipindi cha Nusu ya mwaka wa fedha 2012/2013 | § Waziri /Mambo ya Ndani § Wajumbe |
Jumanne 22/01/ 2013 | § Kupokea na Kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kwa kipindi cha Septemba hadi Desemba, 2012 § Kupokea na Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na JKT kwa kwa kipindi cha Nusu ya mwaka wa fedha 2012/2013 | § Waziri wa Ulinzi na JKT |
Jumatano 23/01/ 2013 | Kukutana na Mabalozi wa nchi Wanachama wa EU | § Wajumbe § Mabalozi |
Alhamisi 24/01/ 2013 | Kukutana na Mabalozi wa nchi Wanachama wa EU | § Wajumbe § Mabalozi |
Ijumaa 25/01/ 2013 | § Majumuisho | § Wajumbe |
Jumamosi Jumapili 26-27/01/ 2013 | § Safari kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI: Vikao vitaanza Saa 4.00 Asubuhi
RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU MWEZI JANUARI, 2013
UKUMBI: PHILIP MARMO – OFISI YA BUNGE DAR ES SALAAM
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | WAHUSIKA |
JUMAPILI 13/01/2013 | Kuwasili Dar es salaam | Ofisi ya Bunge |
JUMATATU 14/01/2013 | Shughuli za Utawala | Ofisi ya Bunge |
JUMANNE 15/01/2013 | · Kupokea taarifa ya utendaji wa shirika la ndege Tanzania (ATCL) · Semina ya LSP | · Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi · Ofisi ya Bunge |
JUMATANO 16/01/2013 | Kupokea taarifa kuhusu Utendaji wa SUMATRA | Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi |
ALHAMISI 17/01/2013 | Kupokea taarifa ya utendaji wa mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) | Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi |
IJUMAA 18/01/2013 | Kupokea Taarifa kuhusu Uboreshaji wa reli ya Kati | Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi |
J’MOSI NA J’PILI 19-20/01/2013 | Mapumziko | Wajumbe |
JUMATATU 21/01/2013 | Kupokea taarifa ya utendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) | Wajumbe/Wizara ya MST |
JUMANNE 22/01/2013 | Kupokea taarifa ya Utendaji wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCAF) | Wajumbe/Wizara ya MST |
JUMATANO 23/01/2013 | Kupokea taarifa ya utendaji wa Baraza la Taifa la Ujenzi | Wajumbe/Wizara ya Ujenzi |
ALHAMISI 24/01/2013 | Kupokea taarifa ya utendaji wa Bodi ya Mfuko wa Barabara | Wajumbe/Wizara ya Ujenzi |
IJUMAA 25/01/2013 | Majumuisho | Wajumbe |
26/01/2013 | Kuelekea Dodoma | Wajumbe |
RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA NA BIASHARA 13-27 JANUARI, 2013
TAREHE/SIKU | SHUGHULI | MHUSIKA |
JUMAPILI 13/01/2013 | · Kuwasili Dar es Salaam | · Katibu wa Bunge |
JUMATATU 14/01/13 SAA 3-6 ASUBUHI | · Utawala pamoja na kupitia Ratiba | · Wajumbe. |
JUMATATU 14/01/13 SAA 6-9 MCHANA |
| · Wajumbe |
JUMANNE 15/01/13 | · Kupokea na Kujadili Taarifa ya Utendaji TIRDO | · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara · TIRDO |
JUMANNE 15/01/13 SAA 6-9 MCHANA | · Kuhudhuria Semina ya LSP | · Wajumbe wa Kamati |
JUMATANO 16/01/13 | · Kutembelea Kiwanda cha Family Soap (Mbezi) | · Wajumbe wa Kamati · Family Soap · Wizara ya Viwanda na Biashara |
ALHAMISI 17/01/13 | · Kujadili na kutoa mapendekezo juu ya kumaliza mgogoro wa LABSA | · Wajumbe. · Wizara ya Viwanda na Biashara |
IJUMAA 18/01/13 |
| · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara · Nyanza Bottlers |
JUMAMOSI NA JUMAPILI |
| · WOTE |
JUMATATU 21/01/13 Saa 3.00-6.00 |
| · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara · TANTRADE |
Saa 7.00- 9.00 mchana |
| · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara · TBL |
JUMANNE 22/01/13 SAA 3- 6 ASUBUHI |
| · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara |
JUMANNE 22/01/13 SAA 6-9 MCHANA |
| · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara |
JUMATANO 23/01/13 Saa Tatu Asubuhi |
| · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara · BRELA |
JUMATANO 23/01/13 Saa sita mchana |
| · Wajumbe · Wizara ya viwanda na Biashara · TTB |
ALHAMISI 24/01/13 |
| WOTE |
IJUMAA 25/01/13 |
| · WOTE |
JUMAMOSI 26/01/13 NA JUMAPILI 27/01/13 | · Kuelekea Dodoma | · Wajumbe. · Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
- Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi
- Chai saa 4:30 asubuhi
0 maoni:
Post a Comment