Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

PrecionAir yaanza rasmi safari ya Dar-Mbeya leo Januari 16, 2013


Ndege ya Shirika la Ndege la Precision Air. Picha ya maktaba

Shirika la Ndege la Precision Air leo limekuwa Shirika la kwanza la Ndege Nchini kuanza safari zake za Ndege Mkoani Mbeya katika Uwanja wa Ndege wa Songwe. Pichani ni ndege hiyo ikiongozwa katika uwanja wa Songwe na baadae kupigiwa Saluti ikiwa ni Heshima ya Ndege kutua katika Uwanja Mpya kwa mara ya kwanza.

Hii ndio yasulu maalum inayofanywa kwa Ndege kutua kwa mara ya kwanza katika uwanja.
Viongozi na wageni mbalimbali wakifuatilia tafrija ya kuanza kwa safari kwa Shirla Ndege la Precision Air. 

Picha zote na Mbeya Yetu Blog.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO