Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Waziri Pinda Akutana na Mawaziri na Wataalamu wa Kilimo kujadili Ongezeko la Bei za Vyakula

Waziri Mkuu Mizengo P. Pinda amekutana na Waziri wa Kilimo Mhe. Eng. Christopher Chiza (Mb), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Uratibu na Bunge Mh. William Lukuvi (Mb), Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Janet Mbene (Mb), Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Gregory Teu (Mb), Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Wataalamu kutoka Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa kujadili hali ya ongezeko la bei ya chakula nchini hasa katika baadhi ya miji mikuu.

Waziri Mkuu Mizengo P. Pinda amekutana na Waziri wa Kilimo Mhe. Eng. Christopher Chiza (Mb), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Uratibu na Bunge Mh. William Lukuvi (Mb), Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Janet Mbene (Mb), Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Gregory Teu (Mb), Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Wataalamu kutoka Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa kujadili hali ya ongezeko la bei ya chakula nchini hasa katika baadhi ya miji mikuu

Source: TheHabari.Com

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO