Thobias Andengenye, RPC Arusha akizungumza kwa niaba ya Jeshi la Polisi  KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, RPC Thobias Andengenye ametoa ah...
                                Soma Zaidi 
                                
                                    Home
                                  
                                  Archive for 
                                  April 2012
 
CHADEMA wadai Wafuasi wao 15 wameuawa Igunga pekee; Polisi wakanusha, Waunda Tume Kuchunguza
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetishwa na wimbi la mauaji yanayotishia amani ya nchi kikidai kuwa jumla ya wanachama wake 1...
                                Soma Zaidi 
                                
 
Auawa kwa risasi akivamia shamba Arumeru
WILAYA ya Arumeru imeendelea kukumbwa na matukio ya vifo baada ya mwananchi mmoja mwenye miaka kati ya 25 na 30, ambaye jina lake halijafaha...
                                Soma Zaidi 
                                
Vijana Wa CCM Elimu Ya Juu Watinga ofisini kwa Nape Kufikisha Ujumbe Wao Dhidi ya Viongozi wa Serikali Wasiowajibika
  Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea  Vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM walioko Vy...
                                Soma Zaidi 
                                
 
CCM yajikanyaga kuhusu jimbo la Arusha Mjini
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimesema kuwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hakiwezi kurudisha jimbo la Arusha Mjini ...
                                Soma Zaidi 
                                
AUWSA waeleza sababu za watu wa Arusha kuwa na ‘meno ya brown’
 Si jambo gumu kumtambua mtu ambae amezaliwa na kukulia Arusha. Wengi wa wakazi wenyeji wa Arusha wana meno yenye rangi na watoto kwa baadhi...
                                Soma Zaidi 
                                
AND1 STREETBALL (BASKETBALL) TOUR 2012 YAFANA ARUSHA
     mbwembwe za wamarekani kwenye kikapu katika mchezo baina ya timu za AND 1 ya Marekani na timu ya mpira wa kikapu Mkoa wa Arusha  benchi...
                                Soma Zaidi 
                                
Mkutano wa EAC Wafanyika Ngurdoto Arusha leo
  Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakitia saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika ulinzi w...
                                Soma Zaidi 
                                
Mwenyekiti wa CHADEMA Arumeru Mashariki auawa kwa kuchinjwa shingo
 Aliekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya Usa-River, Arumeru Mashariki Ngd Msafiri Mbwambo (38) kabla ya kifo chake  Furaha ya wafuasi wa CHAD...
                                Soma Zaidi 
                                
Habari Mpya: Kamati Kuu (CCM) yaridhia Kikwete Kulisuka Upya Baraza la Mawaziri
  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   Kamati Kuu iliyokutana leo tarehe 27/04/2012  chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Jiji...
                                Soma Zaidi 
                                
News Alert: Tindu Lissu aibuka kidedea katika kesi ya kupinga Ubunge wake.
 Mahakama Kuu imemuachia Mh Tindu Lissu kuendelea na ubunge wake (Singida Mashariki) baada ya hoja za walalamikaji kushindwa kuthibitisha ma...
                                Soma Zaidi 
                                
 
News Alert: Hatma ya Ubunge wa Tindu Lissu kujulikana asubuhi hii
Kwa taarifa tulizopata hivi punde, tayari mamia ya watu wameshajazana viwanja vya Mahakama Kuu (Singida) kusikiliza hukumu ya kesi ya kuping...
                                Soma Zaidi 
                                
 
CCM yazidi kubomoka, 1500 waikimbia Babati
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezidi kupoteza nguvu zake sehemu mbalimbali nchini, baada ya waliokuwa viongozi na makada wake ngazi za vijiji ...
                                Soma Zaidi 
                                
CHADEMA, CUF kuungana kuikabili CCM
 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kile cha CUF viko mbioni kuungana na kuendesha maandamano makubwa ya pamoja kuishinikiza ser...
                                Soma Zaidi 
                                
Vitambulisho vya Taifa kuanza kutolewa mwezi ujayo
 MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imesema awamu ya kwanza ya Vitambulisho vya Taifa imekamilika na vitaanza kutolewa mapema mwezi u...
                                Soma Zaidi 
                                
Hii ndio nyumba ya Waziri Maige anayodai kuinunua kwa USD 410,000
Ezekiel Maige wa Maliasili na Utalii baada ya tuhuma, ameibuka na kukiri nyumba yake hii iko Mbezi Beach, Dar es Salaam, na ameinunua kwa Do...
                                Soma Zaidi 
                                
 
News Alart: Jeshi la Polisi kumkamata Dr Slaa
Kwa mujibu wa taarifa ya Habari ya saa 2 usiku leo, kupitia Star Tv, inaelezwa kuwa Jeshi la Polisi nchini linakusudia kumkamata Katibu Mkuu...
                                Soma Zaidi 
                                
Joshua Nassari (Mb) awa kivutio mechi ya Oljoro na Yanga Mjini Arusha leo
Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA) akisalimiana na mashabiki wa mpira wa miguu waliofurika katika uwanja wa Kumbukumbu ye Sheikh Amri Abe...
                                Soma Zaidi 
                                
 
UVCCM Arusha yafunga mjadala wa Millya
UONGOZI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, jana ulitoa tamko la kumsafisha aliyekuwa Mwenyekiti wake, James O...
                                Soma Zaidi 
                                
MISS REDD’S ARUSHA CITY CENTRE KUJULIKANA MEI 5
Washiriki wa kitongoji  Kanda ya kaskazini,Miss Arusha City Center 2012, wakiwa katika picha ya pamoja,tayari kuchuana vikali Mei  5 2012 nd...
                                Soma Zaidi 
                                
 
Arusha kupokea wageni 3,000 kwa mkutano wa Benki ya Afrika (AfDB)
WAKUU wa Nchi  za Afrika wasiopungua saba na magavana wa Benki Kuu wapatao 100, watakuwa miongoni mwa viongozi wa juu watakaohudhuria mkutan...
                                Soma Zaidi 
                                
Robin van Persie mchezaji bora wa mwaka
Robin van Persie amechaguliwa mchezaji bora wa mwaka katika tuzo inayotolewa na Chama cha Wacheza Kandanda ya Kulipwa- PFA.  Robin van Persi...
                                Soma Zaidi 
                                
 
Vichwa vya habari Magazeti ya leo April 24, 2012
Kong’oli hapa  kuungana na MJENGWA BLOG kwa taarifa zaidi   
                                Soma Zaidi 
                                
 
Sugu moto chini Bungeni….adai Mawaziri wabadhirifu watang’oka tu na kimbunga kinachokuja
Mbunge wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Joseph Mbilinyi (pichani), amesema Mawaziri wa Serikali...
                                Soma Zaidi 
                                
 
Bunge lalipuka tena, Zitto, Sugu, Lembeli waibua mapya
BUNGE la Muungano lililomaliza kikao chake cha kumi jana, lilitikisika baada ya kuibuka kwa tuhuma nyingine nzito zilizoelekezwa moja kwa mo...
                                Soma Zaidi 
                                
Sarkorzy ashindwa kwenye uchaguzi
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha kisoshalisti nchini Ufaransa Francois Hollande, ameshinda duru ya kwanza ya uchaguzi nchini humo. Kura...
                                Soma Zaidi 
                                
 
Baada ya kuichachafya Serikali Bungeni, Wabunge wa CCM watishiwa maisha
BAADHI ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi, walioshiriki kusaini hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu kwa nia ya kushinikiza kujiuzulu kwa...
                                Soma Zaidi 
                                
 
Vijana wa ‘bodaboda’ walionyongwa Arusha wadaiwa walikuwa wezi
WATU wanne wanaosadikiwa kuwa ni madereva wa pikipiki maarufu bodaboda ambao waliuawa kwa kunyongwa kisha kuvunjwa shingo na watu wasiotambu...
                                Soma Zaidi 
                                
Ikulu yakanusha Rais Kikwete kupingana na Waziri Mkuu wake katika sakata la Mawaziri waliotajwa kuhusika na ubadhirifu wa fedha za umma
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili  mjini Blantyre ,Malawi  leo jioni (22 Aprili 2012) kuhudhuria  Mazishi ya Profesa Bingu  wa Mutharika...
                                Soma Zaidi 
                                
 
Wananchi Arumeru wavamia shamba la mwekezaji na kujigawia
Published by  FULL SHANGWE , yesterday 22th April 2012  Wananchi wakazi wa  Machumba kata ya Nkwandua wilayani Arumeru leo wamevamia shamba ...
                                Soma Zaidi 
                                
 
HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU BUNGENI KWA MUJIBU WA KATIBA IBARA YA 53A NA KANUNI YA BUNGE, KIFUNGU CHA 133 KUWASILISHWA KWA SPIKA KESHO TAREHE 23/04/2012
HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU BUNGENI KWA MUJIBU WA KATIBA IBARA YA 53A NA KANUNI YA BUNGE, KIFUNGU CHA 133 KUWASILISHWA KWA SPIK...
                                Soma Zaidi 
                                
Subscribe to:
Comments
                            (
                            Atom
                            )