Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mkutuno wa CHADEMA kutoa shukrani kwa wanaArumeru@Leganga jana

arumeru-nassariJoshua Nassari akipungia mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa shukrani

nassari akishukuruJoshua Nassari akitoa neno la shukrani

DSCN0022Mbowe akizungumza mbele umati mkubwa kutoa neno la shukrani

DSCN0009Huyu eti raha ya ushindi ilipitiliza akaamua kulala barabarani, kivuko cha Leganga: Mchezo wa Hatari

DSCN0010   Shangwe za ushindi zilikuwa hadi Tengeru

DSCN0005 Pikipiki za CHADEMA zilizorahisisha ukusanyaji matokeo kutoka vituoni huko vijijini ndani

DSCN0036

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO