Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

ZIARA YA WAZIRI MKUU ARUSHA/MANYARA – ATEMBELEA KIWANDA CHA NGUO SUN FLAG, MBOLEA MINJINGU, MKUTANO WA WADHIBITI WA HESABU ZA SERIKALI

IMG_8992--

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mbolea iliyorundikana kwenye maghala ya kiwanda cha mbolea cha Minjingu Mkoani Manyara wakati alipotembelea kiwanda hicho Aprili 16, 2012. Kiwanda hicho kimesimamisha uzalishaji baada ya mbolea yake kukosa soko. Kushoto ni ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Tosky Hans.

IMG_9039-- Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wa Wakaguzi wa Hesabu za Serikali wa Nchi zinazoongea kiingereza barani Afrika kwenye hoteli ya Impala, Arusha Aprili 16, 2012. Kulia kwake ni  Mdhibiti na Mkaguzi  mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh. na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Gregory Teu.

IMG_8950-- Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua  utengenezaji  vyandarua na nguo katika kiwanda cha A to Z cha Arusha Aprili 15,2012. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa kwanda hicho,  Anuj Shah.

Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu, kupitia FATHER KIDEVU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO