Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mamia ya wafuasi wa CHADEMA wakutana ofisi za chama Arusha kusikia tamko la chama baada ya Lema kuvuliwa Ubunge wake

IMGP0816 Mbowe akizungumza na mamia ya wafuasi wa CHADEMA waliofurika mbele ya ofisi za chama hico eneo la Ngarenaro, Arusha. Kulia kwake ni Mbunge mteule wa Arumeru, Joshua Nassari na kushoto kwake ni Mh Lema ambae ubunge wake umetenguliwa na Mahakama hii leo

DSCN0149

DSCN0172

DSCN0146 Wanahabari walipata wakati mgumu kidogo kukubalika…wananchi walihakikisha wanahabari wa TBC hawashiriki tukio lile kwa maelezo kwamba huwa hawatendi haki kwa watanzania wote kama kituo cha habari cha umma, kwamba wanapotosha matukio ya CHADEMA

DSCN0157Wananchi wengine walifumwa na camera yetu wakiwa vikundi vikundi wakijadiliana nakutafakari Hukumu hiyo

DSCN0158

DSCN0168  Maandalizi ya eneo la kuzungumzia Mwenyekiti wa Chadema taifa, Mh Mbowe

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

Anonymous said...

Safi sana kwa wafuasi wa cdm kwa utlivu mkubwa walionesha ila jimbo hilo ni letu tu cdm

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO