Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

News Alert: Hatma ya Ubunge wa Tindu Lissu kujulikana asubuhi hii

Kwa taarifa tulizopata hivi punde, tayari mamia ya watu wameshajazana viwanja vya Mahakama Kuu (Singida) kusikiliza hukumu ya kesi ya kupinga ubunge wa Mh.Tundu Lissu.... Askari ni wengi na wametanda kila mahali, ukaguzi ni mkali sana getini na magari na pikipiki haviruhusiwi kuingia.

Tutakujuza kila kinachojiri maeneo hayo…endelea kuwa nasi

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO