Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

NEWS ALERT: BLOG YAKO HII IMEBADILISHWA JINA

NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUKUTAARIFU RASMI KUWA BLOG HII ILIYOKUWA IKITAMBULIKA KWA JINA LA ARUSHA YETU ,SASA ITAKUWA IKIFAHAMIKA KAMA NOISE OF SILENCE (MATUKIO ARUSHA).

HATUA HII INATOKANA NA MUINGILIANO NA BLOG NYINGINE AMBAYO INATUMIA JINA HILO LA AWALI NA HIVYO KULETA MKANGANYIKO KWAKO WAKATI UKIITAFUTA MTANDAONI

NAKUOMBA RADHI SANA KWA USUMBUFU UTAKAOKUWA UMEUPATA.

AKSANTE KWA KUNIELEWA!!

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO