Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Kikwete ateua wajumbe wa Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba

jk Rais Jakaya Kikwete jana alitangaza wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ikiwa ni mwendelezo wa mchakato wa kuelekea kwenye upatikanaji wa Katiba mpya. Pichani, Rais Jakaya Kikwete akitangaza majina ya wajumbe hao. Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu wa Rais Dk, Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi na Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani wakishuhudia. 
Ifuatayo ni Orodha hiyo kama ilivyotangazwa na Rais Kikwete

 

 

TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

(Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83,

Toleo la 2012, Vifungu 5, 6 na 7)

______________________________

UONGOZI WA JUU

1.Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA  -Mwenyekiti

2. Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI  -Makamu Mwenyekiti

WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA

1. Prof. Mwesiga L. BAREGU 

2. Nd. Riziki Shahari  MNGWALI 

3. Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI

4. Nd. Richard Shadrack LYIMO

5. Nd. John J. NKOLO

6. Alhaj Said EL- MAAMRY

7. Nd. Jesca Sydney MKUCHU

8. Prof. Palamagamba J. KABUDI

9. Nd. Humphrey POLEPOLE

10. Nd. Yahya MSULWA

11. Nd. Esther P. MKWIZU

12. Nd. Maria Malingumu KASHONDA

13. Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)

14. Nd. Mwantumu Jasmine MALALE

15. Nd. Joseph  BUTIKU

WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - ZANZIBAR

1. Dkt. Salim Ahmed SALIM

2. Nd. Fatma Said ALI

3. Nd. Omar Sheha MUSSA

4. Mhe. Raya Suleiman HAMAD

5. Nd. Awadh Ali SAID

6. Nd. Ussi Khamis HAJI

7. Nd. Salma MAOULIDI

8. Nd. Nassor Khamis MOHAMMED

9. Nd. Simai Mohamed SAID

10. Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA

11. Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN

12. Nd. Suleiman Omar ALI

13. Nd. Salama Kombo AHMED

14. Nd. Abubakar Mohammed ALI

15. Nd. Ally Abdullah Ally SALEH

UONGOZI WA SEKRETARIETI

1. Nd. Assaa Ahmad RASHID  -Katibu

2. Nd. Casmir Sumba  KYUKI  -  Naibu Katibu

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO