Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

JK ASHIRIKI MAZISHI YA JENERALI MSTAAFU ERNEST MWITA KIARO

8E9U2930

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi la Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Mkuu wa Majeshi mstaafu, marehemu Jenerali Ernest Mwita Kiaro wakati wa mazishi yake yaliyofanyika nyumbani kwake Tarime, mkoani Mara

CHANZO: KAMANDA WA MATUKIO

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO