Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KANISA ANGLIKANA ZANZIBAR LAPATA ASKOFU MPYA

DSC_7405

Askofu mteule Michael Henry Hafidhi (kulia mwenye vazi jekundu) akila kiapo mbele ya askofu mkuu wa Anglican Tanzania Dk.Valentino Mokiwa.

DSC_7476

RMgeni rasmi, rais wa Zanzibar Dk A.li Mohamed Shein akiwa na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin William Mkapa wakifuatilia iibada ya kuwekwa wakfu Askofu Michael Henry Hafidhi kwenye kanisa la Anglican, Mkunazini Zanzibar

CHANZO: KAMANDA WA MATUKIO – Richard Mwaikenda, Kong’oli hapa kujionea picha za matukio zaidi

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO