Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Lowassa achangia Mil 10 ujenzi wa Kanisa Mbeya

lo (3)

Waziri Mkuu aliejiuzulu, Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na MC Charles Mwakipesile ambaye pia ni mwandishi wa habari gazeti la Majira mkoani Mbeya.

Lowassa ametoa Shilingi Milioni 10 taslimu kwa ajili ya ujenzi wa kanisa la EAGT lililopo mjini Tunduma wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya.
Fedha hizo amezitoa wakati wa harambee ya kuchagia ujenzi wa kanisa hilo ililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya High Class mjini Mbeya.

Kwa taarifa zaidi ungana na FATHER KIDEVU website

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO