Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Shy-Rose Bhanji ashinda ubunge Bunge la Afrika Mashariki…

shyrose Hatimae wanaCCM Shy-Rose  Sadrudin Bhanji (pichani) pamoja na Angela  Charles Kizigha wameibuka kidedea na kunyakua nafasi mbili za uwakilishi kupitia kundi la wanawake, katika Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki.

Katika kundi la wawakilishi wa Tanzania Bara majina ya Adam Kimbisa, Murunya na Charles Makongoro Nyerere ndio yameibuka kidedea katika nafasi tatu zilizokuwa zinapiganiwa kwenye kundi hilo.

Washindi katika kundi la wawakilishi wa Zanzibar ni  Abdullah Ali Hassan Mwinyi na Mariam Yahya Ussi.

Upande wa Upinzani walioubuka kidedea ni  Nderakindo Perpetua Kessy - NCCR- MAGEUZI (mtaalamu wa hisabati chuo Kikuu) akitokea NCCR Mageuzi na Twaha Issa Taslima wa CUF

Wagombea katika kinyang’anyiro hiki walikuwa kama ifuatavyo…

KUNDI A: WAGOMBEA WANAWAKE

1. Nd. Angela Charles Kizigha – CCM  (Ameshinda)

2. Nd. Fancy Haji Nkuhi - CCM

3. Dkt. Godbertha Kokubanza Kinyondo - CCM

4. Nd. Janet Deo Mmari - CCM

5. Nd. Janet Zebedayo Mbene - CCM

6. Nd.  Maryam Ussi Yahya – CCM (Ameshinda)

7. Nd. Rose Daudi Mwalusamba - CUF

8. Nd. Sebtuu Mohamed Nassor - CCM

9. Nd. Shy-Rose Sadruddin Bhanji – CCM (Ameshinda)

10. Nd. Sofia Ali Rijaal - CCM

KUNDI B: WAGOMBEA WA ZANZIBAR

1. Nd. Abdullah Ali Hassan Mwinyi – CCM (Ameshinda)

2. Dkt. Ahmada Hamad Khatib - CCM

3. Dkt. Haji Mwita Haji - CCM

4. Nd. Khamis Jabir Makame - CCM

5. Dkt. Said Gharib Bilal - CCM

6. Nd. Zubeir Ali Maulid -CCM

KUNDI C: WAGOMBEA WA VYAMA VYA UPINZANI

1. Nd. Antony Calist Komu - CHADEMA

2. Dkt. Fortunatus Lwanyantika Masha - UDP

4. Nd. Juju Martin Danda - NCCR-MAGEUZI

5. Nd.  Micah Elifuraha Mrindoko - TLP

6. Nd. Mwaiseje S. Polisya - NCCR-MAGEUZI

7. Nd. Nderakindo Perpetua Kessy - NCCR- MAGEUZI (Ameshinda)

8. Nd. Twaha Issa Taslima – CUF (Ameshinda)

KUNDI D: WAGOMBEA WA TANZANIA BARA

1. Nd. Adam Omar Kimbisa – CCM (Ameshinda) 

2. Nd. Bernard Musomi Murunya – CCM (Ameshinda)

3. Nd. Charles Makongoro Nyerere – CCM (Ameshinda)

4. Dkt.  Edmund Bernard Mndolwa - CCM

5. Nd. Elibariki Immanuel Kingu - CCM

6. Dkt. Evans Mujuni  Rweikiza - CCM

7. Nd. John Dunstan Lifa-Chipaka - TADEA

8. Nd. Mrisho Mashaka Gambo - CCM

9. Nd. Siraju Juma Kaboyonga - CCM

10. Nd. William John Malecela - CCM

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO