Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Wamama wangua vilio, wengine wazimia Mahakamani baada ya Lema kuvuliwa Ubunge leo

DSCN0126 Wamama walioshindwa kuzuia hiia zao Mahakamani kufuatia Hukumu ambayo haikutarajiwa na wanaCHADEMA

DSCN0127Huyu mama alilia sana kiasi cha kumwagiwa maji na mengine kunyeshwa baada kuishiwa nguvu

analia Hapa anabembelezwa bila mafanikio…

amezimia Hapa mama huyu akiwa ofisi za CHEMA Mkoa, amezimia…

DSCN0120Huyu nae alikuwa akilia kwa uchungu huku akifanya sala kwa kunukuu vifungu vya Biblia

DSCN0122Huyu ilibidi kuegemea gari ya Polisi na kufanya maombi kwa Mungu akiomba Mungu awape adhabu mafisadi 

DSCN0104Wananchi wakifuatilia hukumu ikisomwa kupitia spika zilizowekwa nje katika viwanja vya Mahakama

Lema akiwatuliza wafuasi wake Mahakamani na kueleza hafikirii kukata rufaa

DSCN0111

Mh Lema akiwatuliza wananchi, akiwataka kuwa na subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu… Akaeleza kuwa Hukumu hii alikuwa anataarifa nayo siku kadhaa kabla na anafahamu ni agizo toka Ikulu. Baada ya hapo mazungumzo zaidi yaliendelea ofisi ya chama, Ngarenaro

DSCN0115Askari wengi walikuwa wanyonge kweli baada ya kupata taaraifa ya hukumu. Hakukuwa na ghasia ya aina yeyeote..watu walipokea taarifa kwa utulivu na kuondoka Mahakamani kwa amani

Askari Ploisi nao walionekana kwa sura tofauti..

DSCN0125

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO