Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha leo – Tamko la chama dhidi ya hukumu ya Lema

DSCN9964 Umati uliokuwa ukiitikia salamu ya “People’s …” kwa kukunja ngumi

DSCN0020 Msafara wa viongozi ukiingia eneo la mkutano. Gari inayoonekana kwa mbali (Kibito) ndiyo alikuwa amepanda Mh Lema

DSCN9969

DSCN0007

Hawa nao walikuwa na bango lao…

DSCN0014

DSCN0015

   DSCN9978

Mbowe, Nassari na Lema wakiserebuka jukwani mara baada ya Mh Mbowe kupokea kadi za wanchama wa CCM waliohamia CHADEMA

DSCN9984

Mh Mbowe akiingia kwenye “kibito” cha Lema tayari kuondoka uwanjani 

DSCN0021

Godbless Lema akiingai uwanjani na ‘kibito’…

Mh Lema ameahidi kuanza ziara ya nchi nzima kuimarisha chama chake akianzia na Dar es Slaam

Atafanya hivyo kwa kipindi ambacho hatakuwa mbunge, hadi hapo rufaa yake itakapoamuliwa.

Anasema aliwaza kumuomba Dr Slaa agombee na yeye afanye shughuli nyingine za kujenga chama lakini akaona haitakuwa sahihi kuacha nchi ikiwa na rekodi batili za maamuzi ya Mahakama, hukumu ambazo zinaweza kuja kutumika kuwahukumu wengine kama mfano wa mashauri yaliyopita.

Aidha, lema aliwatoa hofu wananchi ambao walikuwa wana watoto wao wanahudumiwa na mfuko wake wa ArDTF kwa kusomeshwa bure kuwa watoto hao wataendelea kuhudumiwa na mfuko huo hadi wanamaliza shule. Wengi wa kina mama wenye watoto wao wanaofadhiliwa na mfuko huu ndio walioangua kilio mhakamani juzi na baadhi yao kuzirai.

Lema alisema pia alikuwa ameahidi kujenga hospitali kwa ajili ya watu wa Arusha, mpango huo uko palepale na utatekelezwa. Alieleza kuwa tayari kiwanja kimeshapatikana.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

Anonymous said...

ukiwa kama fisadi unapaswa kuelewa kuwa wananchi wa Arusha wamekuchoka kwa nini? na unapaswa kugundua kitu katika umati huu!!!!!!!!!!!! usitegemee ushindi hapa ccm hata kama kura zingepigwa leo

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO