Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

HATI YA KUCHAGULIWA JOSHUA NASSARI (CHADEMA) KUWA MBUNGE ARUMERU MASHARIKI

Fomu ya matoke0 ya Jumla, sehemu ya kusaini Sioi Sumari haijasainiwa

HATI YA KUCHAGULIWA JOSHUA NASSARI KUWA MBUNGE

Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Mashariki, Trasias Kagenzi amemtangaza, alfajiri ya leo, Joshua Nassari wa CHADEMA kuwa Mbunge halali wa Jimbo la Arumeru Mshariki kwa kupata jumla ya kura 32,972

Aliemfuatia  Nassari ni Sioi Summari wa CCM, aliepata kura 26,757

Jumla ya kuza zilizopigwa ni 60,038, na kura zilizoharibika ni 661.

Wagombea wa vyama vingine wamepata kura kama ifuatavyo: AFP – 139, UPDP – 18, TLP – 18, SAU – 22, NRA – 35, na DP – 77.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO