Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

News Updates: MBUNGE ANUSURIKA KATIKA AJALI YA GARI MOROGORO

Abass Mtemvu

Mbunge wa Temeke  Abass Mtevu na dereva wake ambaye jina lake hakutajwa, wamenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari  wakiwa njiani kuja Dar es Salaam.

Akitoa taarifa bungeni mchana huu, Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai amesema baada ya ajali iliyosababishia majeraha kadhaa mwilini, Mtemvu na dereva wake wametibiwa katika hospitali ya Morogoro na kuruhusiwa kuja Dar.

"Wamenusurika ingawa wamepata majera kadhaa mwilini, na hivi ninavyozungumza wapo njiani kwenda Dar es Salaam" alisema Ndugai kuwaambia wabunge

Chanzo: NKOROMO DAILY BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO