Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

News Alert: Abiria wa Moshi-Arusha wapata ajali Arumeru jana jioni

DSCN0016

DSCN0017

DSCN0018

DSCN0019Picha tofauti zikionesha tukio la ajali iliyotokea jana jioni, eneo la Madira kwa kuhusisha basi aina ya Costa lenye namba T182 AUS linlofanya safari kati ya Moshi na Arusha, na basi jingine linalotokea Babati (namba yake haikupatikana).
Mashuhuda wa ajali hiyo wanasema abiria mmoja amejeruhiwa vibaya kichwani na yuko mahututi, na majeruhi wengnie hali zao ni mbaya sana!  

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO