Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

BAVICHA kufanya “maamuzi magumu”?

Itakumbukwa kuwa akitoa salamu zake katika hafla ya kufungia mwaka na kuukaribisha mwaka mpya 2013 nyumbani kwake Monduli Arusha, Mbunge wa Monduli Mh Edward Ngoyai Lowassa aliwaasa watanzania kuuchukulia mwaka huu kama mwaka wa kuwa na uthubutu wa "KUFANYA MAAMUZI MAGUMU" katika maswala mabli mbali ya maisha..

Kwa hili ilivyo katika taasisi ya Vijana wa CHADEMA (BAVICHA), ambapo kutofautiana na kuchafuana kwa baadhi ya vijana na viongozi wa CHADEMA, na kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo binafsi vya Blog hii,  kuna kila dalili kuwa BAVICHA Taifa italazimika kufanya MAAMUZI MAGUMU kwa mustakabali wa kurudisha nidhamu ya taasisi hiyo muhimu katika ukuaji wa Demokrasia nchini mwetu..

Hili linaweza kutokea mapema sana kabla ya “kuisha utamu” wa mwaka huu mpya!! Tusubirie tuone ujasiri wa vijana hawa katika kufanya maamuzi magumu…

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO