Kupitia ufafanuzi kwenye ukurasa wake wa facebook, Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA) Mh Zuberi Zitto Kabwe, ameweka wazi sasa kuwa amefunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais 2015 hadi hapo Katiba Mpya itakapoamua vinginevyo.
Katika bandiko hilo la jana ameandika hivi
“Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato wake”
Baadhi ya watu walitoa maoni yao kuhusiana na hilo na baadhi ni haya yafuatayo..
- Emanuel Maginga kwa hyo hyo ndo kauli yako c bora ungekaa kmya 2
Godliving Maro Hapa umesema! We want u as president in 2015.
John Kundi Umenena kamanda...hata wale wanaopitisha maneno maneno watulie zao..kwan hapo umewakata kauli...
Tyson Timothy Mungu akuongoze azidi kukupa busara#hekima na uvimilimu..nakukubali broo watoto wa town wanasema kama ipo ipo. Zitto..kabw
Elisha Mfinanga Pa1 mkuu
Happy Winnie Kaonyesha msimamo,anasimamia malengo ya mwaka@ema
Laurean Kiiza Tayari umeisha zungumza!!!
Abdul Malick Safi sana kabwe nimependa jibu lako coz katiba mpya itakuwa siraha kubwa sana kwetu ambao tunataka maendeleo ya nnchi hii
Phills Ammy JAGUAR~Kigeugeu.
Chuma Salum basi sawa1
Charles Mnaly Aksante kiongozi umeeleweka!
Alois Ngonyani Welldone Zito Zitto Z Kabwe na huu ndio ukomavu
Lulu Joel kka funguka tu unafaa sana kugombea do it vijana tunaweza
David Nkya naweza kuweka hela hapa, lazima utalizungumzia tu!
Ivi ile ya kutaja majina bungeni ilikuwaje tena? au ndio mambo ya political promises hizo...hahahahaha!
James John big up jombaa Zitto Kabwe hapo sasa wale vidomodomo wametulizwa
Ayoub Rogers harakati zako na makundi yako yamefeli ni bora ukae kimya wenzio wanajenga chama wewe unauwaza urais
Carolyn Mwanri Daftari Well....I don't want to annalyze ur comments but they speak volumes if ofcoz one reads between lines.
Julius Riessen Mhe .kama ispokubalika umri wakugombea urais ukapunguzwa je utasema nini umeazima au utaendelea kukaa kimya kiongozi? Zitto Kabwe
Siniorita Flora LadySilver thats good
King Suleiman Wapili T2015 ZZK..4PREZIDENT...vijana tusio wa kikanda na wazalendo ww ndio chaguo letu...endapo katiba itatupa tumaini jipya ww ndio tumaini letu...pamoja broda
Frank Rainhard Nakutakia utekelezaji mwema!
Matata Deo sure thing Mheshimiswa
Christina Yelezwa Politics nd politicians,al d best
John Magomba: Mi nilishakusoma kitambo kaka ktk TV moja ukisema utagombea na ndiyo ambition yako.So usizungumzie lkn tunaokufatilia kwa karibu tunajua we ndo candidat wetu
Sixbert Koyo Tunataka watz 10 tu kama wewe nina imani tutalala milango wazi.
Buzuka Deogratias: safi sana muheshimiwa binafsi hapo nakuunga mkono kwa 100%
Davie George: busara
Jonathan Mkilania basi poa
Joseph Sila Msangi: Pamoja daima... M4c @zitoSee Translation
Daffi Abdillah: Msema kweli mpenzi wa Mungu.....!
Victor Kasanga BIG UP ZZK
0 maoni:
Post a Comment