Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MH LOWASSA ALIVYOUKARIBISHA MWAKA MPYA KIJIJINI KWAKE MONDULI


Waziri mkuu mstaafu mh Edward Lowassa akiwa na mke wake Mama Ester Lowasa wakiwapungia wageni waalikwa kwenye halfa ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika nyumbani kwa Mbunge huyo Wilayani Monduli


Mh Andrew Chenge Mbunge wa Bariadi na wageni waalikwa wakiwasili nyumbani kwa Mh Edward Lowasaa tayari kwa halfa hiyo..


Wageni wakiwasili tayari kwa halfa hiyo ya kuukaribisha mwaka mpya


Mh lowassa akitoa maneno machache ya ukaribisho na shukrani kwa wageni waalikwa kayika halfa hiyo

CHANZO: JACKSON AUDIFACE

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO