Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

UFUNGUZI WA JENGO LA CHUO CHA UTAWALA WA UMMA,TUNGUU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi,alipowasili katika shere za Ufunguzi wa Jengo la Chuo cha Utawala wa Umma,liliopo Tunguu, Wilaya ya Kati Unguja,katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi,alipowasili katika shere za Ufunguzi wa Jengo la Chuo cha Utawala wa Umma,liliopo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja, katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa jengo la Chuo cha Utawala wa Umma,lililopo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja jana,katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora HajiOmar Kheir.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akifuatana na  Waziri waUtawala wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir,(kushoto) pamoja na Viongozi wengine baada ua kulifungua  jengo la Chuo cha Utawala wa Umma,lililopo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja jana,katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Utawala wa Umma,walioshiriki katika sherehe za ufunguzi wa jengo la Chuo hichohuko Tunguu,Wilaya ya Kati unguja jana,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alikuwa Mgeni rasmi.

Baadhi ya  Viongozi na Wananchi walioalikwa katika sherehe za Ufunguzi wa  jengo la Chuo cha Utawala waUmma,zilizofayika jana huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja, wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi Rais wa Zanzibar,alipokuwa akitoa hutuba yake katika kusherehekea shamra shamra za Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) akiwahutubia Wananchi,katika sherehe za ufunguzi wa  jengo la Chuo cha Utawala wa Umma,lililopo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja jana,katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Maalim Abdalla Suleiman,(wa pili Kulia) na  Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir.

PICHA KWA HISANI YA KAMANDA WA MATUKIO, RICHARD MWAIKENDA

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO