Mbowe akizungumza na mamia ya wafuasi wa CHADEMA waliofurika mbele ya ofisi za chama hico eneo la Ngarenaro, Arusha. Kulia kwake ni Mbunge mteule wa Arumeru, Joshua Nassari na kushoto kwake ni Mh Lema ambae ubunge wake umetenguliwa na Mahakama hii leo
Wanahabari walipata wakati mgumu kidogo kukubalika…wananchi walihakikisha wanahabari wa TBC hawashiriki tukio lile kwa maelezo kwamba huwa hawatendi haki kwa watanzania wote kama kituo cha habari cha umma, kwamba wanapotosha matukio ya CHADEMA
Wananchi wengine walifumwa na camera yetu wakiwa vikundi vikundi wakijadiliana nakutafakari Hukumu hiyo
Maandalizi ya eneo la kuzungumzia Mwenyekiti wa Chadema taifa, Mh Mbowe
1 maoni:
Safi sana kwa wafuasi wa cdm kwa utlivu mkubwa walionesha ila jimbo hilo ni letu tu cdm
Post a Comment