Mwili wa Muigizaji Bora wa Bongo Movies Marehemu Steven Kanumba ukiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam muda fupi kabla ya kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti usiku wa kuamkia leo (Picha: HakiNgowi)
MSANIImaarufu wa sanaa ya kuigiza nchini Tanzania, Steven Kanumba amefariki dunia. Taarifa zinasema Kanumba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo alipokuwa nyumbani kwake Sinza-Vatcan jijini Dar es Salaam.
Taarifa ambazo hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi zinasema Kanumba amefariki dunia baada ya kusukumwa katika ugomvi na mtu anayedaiwa kuwa mpenzi wake walipokuwa wakizozana nyumbani kwake.
Binti huyo aliyetambulika kwa jina moja la ‘Lulu’ anadaiwa kumsukuma Kanumba kisha akaanguka chini na kugonga kichwa kwenye sakafu, kitendo kinachohofia ndicho kilichosababisha kifo chake. Tayari polisi Dar es Salaam imethibitisha kifo cha staa huyo wa tasnia ya uigizaji japokuwa hawajasema nini kilichosababisha kifo chake.
Maiti ya Kanumba kwa sasa imeifadhiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ukisubiri uchunguzi wa madaktari na kisha taratibu za mazishi kufanyika. Mtandao huu mmezungumza na mmoja wa watu wa karibu wa msanii huyo na kudai hivi sasa kuna umati mkubwa nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam na taratibu za mazishi zinafanywa. Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi juu ya tukio hili mara baada ya kuzipata.
Uongozi na wasomaji wa mtandao huu unatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki wa msanii huyo. Amina.
(Maelezo: TheHabari.Com)
2 maoni:
ATAKAE TANGAZA NIA SHINYANGA MJINI KUKIONA.---KANUMBA AMEKIPATA................
Habari imeeleza kuwa yeyote atakaye tangaza kugombea ubunge jimbo la shinyanga mjini hatari ipo mbele yake, hii inatokana na mmliki wa Jimbo hilo Mh steiven Masele kujipanga kuhakikisha ana wamaliza wabaya wake wote kwa ndumba.
Alianza na Shelembi mtu ambaye si tu kwamba alipendwa sana mjini Shinyanga pia ndiye aliyeshinda ubunge wa hilo jimbo mwaka 2010 lakini hakutangazwa, baada ya muda mfupi alifariki dunia na tetesi zinasema aliuwawa na mganga wa Steiven Masele ambaye anaishi huko Mwamadulu ambaye ni mama yake na mbunge huyo kijana anayeendekeza sana ushirikiana. Kifo cha Shelembi kimetokea karibuni mwaka mmoja sasa umepita na CHADEMA mkoa wa shinyanga wako kwenye maandalizi ya kumbukumbu yake.
Muda si mrefu Kanumba alichukua kadi ya chama cha demokrasia na maendeleo kwa msaada mkubwa wa mwenyekiti wa BAVICHA John Heche, ana Heche alikuwa anampigia chapuo kwa viongozi wa chadema taifa ili awe mgombea wake kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 kwa ngazi ya ubunge mjini Shinyanga.
Mtoa habari hizi amedai kuwa baada ya bwana masele kugundua kuwa popularity ya bwana kanumba ni kubwa njia pekee ni kumuondoa duniani, wengine wanaotajwa kwa majina kuwa wako kwenye orodha ya kutangulia mbele ya haki kama tu watatangaza nia au watajaribu kugombea jimboni humu wameonywa, ndugu Tumbo ambaye siku za karibuni amekuwa akipigana kumbo na viongozi wa mkoa hapa shinyanga kwa lengo la kugombea uenyekiti wa mkoa ili baadaye aje ajiteuwe kuwa mgombea wa ubunge wa jimbo hilo.
Mwingeine ni Rachel mashishanga ambaye ni mbunge wa viti maalum amabye naye kwa kutumia wapambe wake amekuwa akuhusishwana hizo tetesi za kutaka kugombea na aliwahi kusikika katika mkutano wa kampeni kata ya masekelo akiwasihi wananchi wamchague diwani wa Chadema ili wampe moyo wa yeye kugombea hilo Jimbo, mara tu baada ya kauli yake hiyo siku mbili baadaye alianza kuumwa miguu kiasi amabcho alishindwa hata kutembea na sidhani kama bado ana hiyo nia.
Vijana wengine wa Shinyanga pia wameshatangaza hizo nia wengine kupitia mitandao ya kijamii, kuna huyu mmliki wa forum ya shinyanga tunayoitaka ameshatangaza kuwa atagombea kupitia ccm lakini hana madhara kwa ndugu masele ndiyo maana bado anaishi, Huo ni muendelezo wa siasa za kichawi kanda ya ziwa.
Ikumbukwe kuwa jimbo la solwa ambalo ni jimbo jirani na shinyanga mjini mwaka 2000-2004 liliwahi kuuwa wabunge wanne na dawa hiyo nasikia ndiyo iliyohamia mjini shinyanga kilimalizia chanzo cha taarifa hiyo- HUU NI UKWELI ATUNA MUDA WA KUSEMA UONGO ILI USAIDIE NINI?

Post a Comment