Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Dr Slaa Afunika Arumeru Machi 18, 2012 (Picha)

00001dkslaa Nassari akitnadiwa na Dr Slaa

DSCN0035

Majukwaa mawili (PA System ya Chama) yanaonekana kwa mbali, hapa ni Soko la Ndizi, jirani na  Tengeru

DSCN0039Hapa akimnadi mgombea wake, Joshua Nassari

DSCN0046Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akiunguruma

DSCN0058Eneo la Mkutano ni migombani lakini wananchi waliweza kufika, mahali minada ya ndizi hufanyika

DSCN0053Huyu alikuwa na Bango lake “SIKUZALIWA MERU, SIJAKULIA MERU, KWELI MIMI SIO CHAGUO LENU…MCHAGUENI NASSARI”

Dr Slaa akiteremka Jukwaani…anafutiwa na mgombea, Joshua Nassari, Mbunge wa Karatu Mchungaji Natse na maofisa usalama.

Mbele kabisa   Mh Godless Lema yuko tayari kumsindikiza Dr Slaa kuelekea garini

DSCN0072Joshua akilazimika kusalimiana na wananchi waliozunguka gari yake hata kukusa pa kupita

DSCN0068Dr Slaa akiagana na wananchi

DSCN0076Wanausalama nao wakiondoka, amani ilitawala muda wote wa mkutano

DSCN0083Nassari na Vicent Nyerere (juu ya gari) wakikaribia kuingia barabara kuu

DSCN0094Mh Lema alilazimika kutoka nje ya gari….. hamasa ilikuwa ni kubwa

DSCN0088Waliokuwa wanatoka Arusha kwenda Moshi iliwabidi kusubiri kwa muda, hadi msafara wa viongozi, wafuasi, marafiki na wanachama wa  CHADEMA umalizike kutoka eneo la mkutano Tengeru kuelekea  Usa River ilko nkambi yao ya muda kwa ajili ya uchaguzi.

DSCN0092  Baada ya msafara wa viongozi, ulifuata msafara wa marafiki… hapa watu na magari wakiwa njiani toka eneo la mkutano, migombani

Picha Zote na Tumainiel Seria (http://arusha255.blogspot.com)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO