Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Shahidi : Makongoro Mahanga Alikamatwa na Masanduku ya Kura

SHAHIDI wa tisa katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge katika  Jimbo la Segerea, Aziza Masoud (25) ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa mbunge wa jimbo hilo, Dk Makongoro Mahanga alikamatwa na masanduku ya kura.
Masoud ambaye ni Mwandishi wa Habari wa gazeti la Mwananchi, alidai hayo jana kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati akitoa ushahidi wake katika kesi hiyo inayosikilizwa na Jaji Profesa Ibrahim Juma, akiongozwa na wakili Peter Kibatala anayemtetea Mpendazoe.
Read more…

Published by Mwananchi Habari, yesterday

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO