Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MKUU WA MKOA ARUSHA AKANA KUVUJISHA SIRI CHADEMA

PINGAMIZI lililowekwa na Chadema kwa mgombea ubunge wa CCM katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Siyoi Sumari, limezua utata baada ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha kudaiwa kuvujisha barua ya siri kwa chama hicho cha upinzani.

Soma zaidi...

Published by: Mwananchi Habari yesterday

"arusha255.blogspot.com"

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO