Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MFUASI WA CCM ARUMERU AKIMUOMBEA NASSARI WA CHADEMA (PICHA)

maombi-arumeru Mfuasi wa CCM, Ester Leusha akimuombea dua Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari baada ya kumaliza kuongea na wananchi wa kijiji hicho jana na kuwaomba wampigie kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo. Picha na Edwin Mjwahuz

Picha ya juu&Maelezo: Mwananchi Habari -leo

Chini, mwananchi mwingine, eneo lingine akifanya hivyo hivyo kama tukio lilivyonaswa na camera ya Tanzania Daima
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO