Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

HAFLA YA KUCHANGIA CHADEMA KUFANYIKA NAURA SPRING HOTEL KESHO - MACHI 23, 2012

TANGAZO KWA MARAFIKI WA CHADEMA

Mpendwa RAFIKI WA CHADEMA, napenda kukujulisha kuwa Ijumaa ya tarehe 23 Machi 2012, kutakuwa na hafla maalumu ya kukiwezesha chama itakayofanyika katika hotel ya NAURA SPRINGS, ARUSHA.
Tiketi zinapatikana kwa

Mr Amani Golugwa 0754 912 914, na

Elifuraha Mtowe – 0754 710 077

Hafla hiyo itarushwa LIVE NA STAR TV kuanzia saa 2 hadi saa 4 usiku.

Mh Freeman Mbowe (mb) na Katibu Mkuu Dr Wilbroad P Slaa watawaongoza wabunge wa chadema na marafiki wote katika mpango huu maalumu wa kuchangia chama wa “MOVEMENT FOR CHANGE”.

Marafiki watakula chakula cha pamoja nakubadilishana mawazo.

Imetolewa na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Ng Amani S Golugwa

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

Fadhy Mtanga said...

nawatakieni kila la kheri.

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO