Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

JK ateua makatibu tawala mikoa saba, watatu wahamishwa

Rais Jakaya Kikwete, ameteua makatibu tawala wa mikoa saba na kufanya uhamisho wa wengine watatu.

Taarifa iliyotolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, ilieleza kuwa Dk. Faisal Hassan, ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kabla ya uteuzi huo Dk. Faisal alikuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Rasilimali Watu katika Ofisi ya Rais, (Menejimenti ya Utumishi wa Umma).

Jana Machi 21, Rais Kikwete aliwaapisha wakuu wapya wa mikoa mipya 4, Ikulu Dar es Salaam. Soma zaidi…

Chanzo: IPP Media

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO