Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MAZIKO YA MWAKILISHI WA BUBUBU JANA

mazishi ya mwakilishi wa bububu Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein pamoja na viongozi wengine wa kitaifa wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakishiriki kumuombea dua aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu CCM Marehemu Salum Amour Mtondoo aliyefariki  kutokana na ugonjwa wa shindikizo la damu huko katika hospitali ya
Mnazi Mmoja Zanzibar

mazishi ya mwakilishi wa bububu1 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein watatu kulia akiitikia dua iliyokuwa ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Skh. Omar Kaabil,kuliani kwa Rais ni Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad pamoja na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi,kushotoni kwa Rais ni
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd.

Picha: Maelezo, Zanzibar

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO