Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHADEMA ARUMERU KATIKA PICHA – PART II

DSCN0047

Mselebuko…

DSCN0053Jukwaa kuu wakiteta.. Kutoka kushoto; Mwigamba, Mbowe, Nassari, Zitto, Heche, Mzee Mtei na Msigwa

DSCN0073Dua kabla ya kuanza mkutano.. Sheikh Sadik

DSCN0117Mbowe akimtambulisha Nassari

DSCN0100Mzee Edwin Mtei akisalimia wananchi. Ilielezwa kuwa wazo la kuunda CHADEMA lilianzia Arumeru, nyumbani kwa Mzee Mtei miaka 20 iliyopita, eneo la Tengeru.   

DSCN0114Zoezi la kuchangia chochote mtu alichonacho likiendelea… watu waliitikia wito wa Mwenyekiti vizuri

DSCN0097Mbowe akihutubia taifa…

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO