Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Akeri, wakiwalalamikia walimu wa shule za msingi na sekondari kwamba wamekigeuka chama hicho na kushabikia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuwafundisha wanafunzi wao kutumia msemo unaotumiwa na Chadema wa 'people’s power'. Soma zaidi Nipashe
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment