Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mwananchi lamuumbua Majimarefu

Gazeti la Mwananchi la leo, Machi 24,2012 toleo Na 04288 limechapisha baadhi ya picha zinazomwonyesha mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Vicent Ngonyani maarufu kama Majimarefu akiwa na wanaChadema kwenye kambi yao, Usa River.

Kuchapisha picha hizo kunafuatia tishio la Majimarefu kutaka kulishitaki gazeti holi kwa madai kwamba Jumatano iliyopita lilichapisha katika ukurasa wa  mbele picha ya kutengeneza inayomwonyesha akiwa na mgombea  wa CHADEMA, Joshua Nassari na meneja wake wa kampeni na mbunge wa Musoma Mjini, Vicent Nyerere wakiwa katika kambi ya chama hicho.

Maji marefu alidai hakuwahi kupiga picha na Nassari ila alikiri kupiga picha na Vicent pekee..

majimarefuHapa Majimarefu akionesha picha na toleo la Gazeti analodai lilichapisha picha ya kutengezezwa, na kutishia kulishitaki

Picha zinavyoonekana kwenye ukurasa wa tatu wa Mwananchi

Matukio tofauti Majimarefu na wanaCHADEMA hao, kwa mujibu wa chapisho la Mwananchi

 

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO