Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Simba Yairarua ES Setif ya Algeria 2-0

7Mchezaji wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi, akiruka juu katikati ya mabeki wa timu ya ES Setif wakati timu hizo zilipopambana katika kombe la Shirikisho kwenye uwanja wa Taifa jano. Katika mchezo huo Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-0

Kutokana na Ushindi walioupata klabu ya Simba jana, Blog ya Mjengwa imeweka post inayozungumzia historia ya timu hiyo na mafanikio yake kwa upana zaidi. Gonga hapa kujua zaidi kilichomo

Picha: Sufiani Mafoto

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO