Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Bomoa bomoa yafanyika usiku chini ya ulinzi mkali

 

bomoabomoa

Bomoa bomoa nyumba za Shirika la Reli na Bandari Gerezani jijini Dar es Salaam

KAMERA ya Thehabari.com jana imeshuhudia nyumba za zilizokuwa kota za Shirika la Reli Tanzania na zile za bandari eneo la Kariakoo Gerezani zikivunjwa na tigatiga chini ya ulinzi mkali wa askari polisi pamoja na vijana wa Kampuni ya udalali ya Majembe

bomoabomoa1 Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema nyumba hizo zilianza kuvunjwa kuanzia usiku wa kuamkia jana majira ya saa kumi chini ya ulinzi mkali wa polisi pamoja na vijana wa Majembe. Taarifa za mashuhuda zinasema nyumba hizo zimevunjwa baada ya kesi ya wamiliki wa nyumba hizo kutupiliwa mbali hivi karibuni. Eneo hilo Serikali imepanga kujenga kituo kikuu cha mabasi yaendayo kasi ya jijini Dar es Salaam.

Picha&Maelezo: TheHabari.Com

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO